Kenya Leo suala la 258 Februari 21,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Shahidi mmoja alidai katika mahakama kuu inayosikiza kesi ya mauaji inayomkabili Dkt.Zachary Onyonka na wenzake wanne kwamba alishuhudia Onyonka mwenyewe akimpiga risasi marehemu Uhuru Ndege mnamo Septemba 25,1983 .
English translation below
- One witness testified in the high court hearing the murder case against Doc.Zachary Onyonka and his four friends that he witnessed Onyonka himself shooting the late Uhuru Ndege on September 25,1983.

