Kenya Leo suala la 260 Februari 23,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Makatibu wakuu katika Wizara mbali mbali wameamuriwa wahakikishe kwamba wafanyi kazi walio chini yao hawachelewi ofisini na wenye kufanya hivyo waanze kuadhibiwa mara moja.Hatua hiyo inafuatia kutoridhika kwa Rais Moi juu ya wakati ambao watumishi wengi wa Serikali wanafika ofisini mwao.
English translation below
- The principal secretaries in various Ministries have been instructed to ensure that their subordinates are not late for office and those who do should be punished immediately. The move follows dissatisfaction by President Moi about the time that most government servants arrive at the office .

