Newspapers

Kenya Leo suala la 262 Februari 25,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Moi asema kwamba kila kiongozi duniani alipaswa kufanya juhudi za kuimarisha amani na umoja miongoni mwa wanadamu kuzuia hatari ya mwanadamu kujiangamiza mwenyewe kutokana na utengenezaji wa silaha hatari za kivita.Rais alisema haya alipopokea karatasi za Balozi wa India nchini Kenya Bw.Kishan Kimar.

English translation below

  • President Moi stated that every leader in the world should make every effort to promote peace and unity among human beings to prevent the danger of man from destroying himself due to the manufacture of dangerous arms of war. The President said this when he received the papers of the Ambassador of India to Kenya Mr. Kishan Kumar .
error: Content is protected !!