Newspapers

Kenya Leo suala la 267 Machi 1,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Moi asema kuwa ustawi wa baadaye wa taifa la Kenya na hali yetu ya maisha yanategemea uhifadhi wa udongo .Rais alikuwa akiwaongoza maelfu ya wananchi katika ujenzi wa vizuizi vya udongo na kuwahimiza viongozi kote nchini wawahimizw na kuwaongoza wanachi katika shughuli za uhifidhi wa udongo.

English translation below

  • President Moi has said that the future prosperity of the Kenyan nation and our standard of living depends on soil conservation. The President was leading thousands of citizens in the construction of clay barriers of soil and encouraged leaders across the country to encourage and guide citizens in activties of soil conservation .
error: Content is protected !!