Newspapers

Kenya Leo suala la 269 Machi 3,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Wizara ya mazingira na mali ya kiasili imeombwa iharakishe utafiti juu ya aina moja ya mti wa Gum Arabica ambao yasemekana huleta pesa nyingi sana unapouzwa katika nchi moja jirani.Imegunduliwa kuwa mti huo hugharamia sh.20 kwa kilo katika nchi moja jirani na hatimaye huuzwa katika nchi za mashariki na kati.

English translation below

  • The Ministry of Environment and Natural Resources has been asked to expedite research on one type of Gum Arabica tree that is said to bring in a lot of money when sold in one neighboring country. It has been found that the tree costs shs.20 per kg in one neighboring country and eventually sold in eastern and central countries.
error: Content is protected !!