Newspapers

Kenya Leo suala la 274 Machi 8,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba imefichua makaburi makubwa yenye maiti za watu wapatao 4,000 raia kwa askari ,waliouawa na serikali dhalimu ya Rhodesia wakati wa vita vya kupigania uhuru wa Zimbabwe miaka ya sabini.

English translation below

  • The Zimbabwean government has announced that it has uncovered large graves containing the bodies of about 4,000 civilians for soldiers ,killed by the oppressive Rhodesian government during the war fighting for Zimbabwe independence in the seventies.
error: Content is protected !!