Kenya Leo suala la 275 Machi 9,1984 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Kenya Leo suala la 275 Machi 9,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Moi alikuwa Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Kenya kutembelea nyumba za kulala za wanafunzi wa chuo Kikuu cha Nairobi amabapo alipata chai ya saa kumi jioni na mara moja akatangaza nyongeza ya marupurupu ya wanafunzi hao kutoka sh.45 hadi 60 kila siku. Aliahidi kuchunguza mahitaji mengine ya wanafunzi ambayo yalitajwa katika kumbukumbu aliyokabidhiwa na chama cha wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi SONU walipomtembelea katika ikulu ya Nairobi.

English translation below

  • President Moi became the first president in the republic of Kenya to visit dormitories for Nairobi University students where he had tea at 4pm and immediately announced an increase in students’ allowances from shs.45 to 60 per day. He promised to explore other student needs that were mentioned in the record entrusted to him by Student Organization of Nairobi University (SONU) when they visited him in the the State House in Nairobi.
error: Content is protected !!