Newspapers

Kenya Leo suala la 276 Machi 10,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Anayeshikilia mamlaka ya mkurugenzi wa kilimo na ustawi wa mifugo katika mkoa wa Kaskazini Mashariki ,Bw. Richard Muriuki awashauri wenye mifugo mkoani humo waiuze mifugo yao ambayo wanaona haitaweza kuhimili hali ngumu ya Ukame inayoendelea .Alisema kwamba mvua inayotarajiwa kunyesha kote huenda isitoshe kukuza nyasi za malisho .

English translation below

  • Acting director of agriculture and livestock welfare in the North Eastern region Mr.Richard Muriuki advises livestock owners in the region to sell their livestock which they feel will not be able to withstand the ongoing drought situation. He said that the expecter rain may not be enough to help in the growth of the feeds for the livestock.
error: Content is protected !!