Kenya Leo suala la 278 Machi 12,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Rais Moi amesema kwamba matatizo mengi yanayoikabili Afrika yamesababishwa na watu wanaojitakia makuu amabao wameasi maadili ya utamaduni wao na kuiga mawazo ya kigeni. Amewahimiza WaKenya wote waimarishe umoja wao ambao alisema ni msingi wa maendeleo yote ya nchi.
English translation below
- President Moi said that many of the problems facing Africa were caused by self-centered people who have rebelled against the values of their culture and imitation of foreign ideas. He urged all Kenyans to strengthen their unity which he said it is the foundation of all the development of the country.

