Kenya Leo suala la 279 Machi 13,1984 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Kenya Leo suala la 279 Machi 13,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Wafanyi kazi wa taasisi ya uchunguzi wa kilimo cha kahawa iliyoko Jacaranda, waligoma baada ya mkurugenzi wa taasisi hiyo Dkt.A. Kabaara kukataa kutia sahihi fomu A ya mzozo wa viwanda ili kurudisha mzozo wa wafanyi kazi wa taasisi hiyo katika mahakama ya viwanda kwa ufafanuzi.

English translation below

  • Employees of the existing coffee farming research institute at Jacaranda they went on strike after the director of the institute Dkt.A. Kabaara refusing to sign form A of the industrial dispute in order to reverse the institution’s staff dispute at the workers court for explanations.
error: Content is protected !!