Newspapers

Kenya Leo suala la 281 Machi 15,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Moi alikariri juhudi za serikali yake kuimarisha hali ya hospitali humu nchini ili kuwahudumia wananchi kwa ukamilifu. Alisema serikali yake inatoa shukrani kwa watu binafsi ,makundi na kampuni kwa kuitikia wito wa Nyayo wa kujali hali ya maisha ya watu wengine kwa kuchangia kwa ukarimu miradi ya kuinua hali ya hospitali za hapa nchini.

English translation below

  • President Moi reiterated his government’s efforts to improve the hospital environment in this country to serve the people to the fullest .He said his government gives thanks to individuals ,groups and companies in response to Nyayo’s call to care about other people’s living conditions by generously contributing to the improvement of local hospital projects.
error: Content is protected !!