Newspapers

Kenya Leo suala la 283 Machi 17,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Kiongozi wa mashtaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Snr. Pte.Hezekiah Ochuka mbele ya mahakama ya kijeshi mjini Nairobi alitoa taarifa katika mahakama hiyo akitaka hukumu ya kifo ipitishwe juu ya mshtakiwa .Katika maelezo yake ya mwisho katika kesi hiyo alisema kwamba upande wake ulikuwa umethibitisha madai aliyofanyiwa mshtakiwa na kwamba kulingana na sheria za mahakama ya kijeshi adhabu ya kosa lililomkabili Ochuka ni kifo.

English translation below

  • Prosecutor in the treason case against Snr. Pte.Hezekiah Ochuka before the court martial in Nairobi he made a statement in court wanting the death penalty passed on the defendent .In his last statement in the case he said that his side had confirmed the allegations made against the defendant and that according to the law of military court the penalty for the crime against Ochuka is death.
error: Content is protected !!