Kenya Leo suala la 285 Machi 19,1984 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Kenya Leo suala la 285 Machi 19,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Zaidi ya walimu 11,000 wasio na mafunzo ya walimu wataajiriwa kote nchini kukabiliana na idadi ya walimu wanaotakikana kufunza katika shule za msingi wakati wanafunzi wa darasa la saba watakaporingia darasa la nane mwaka ujao.

English translation below

  • More than 11,000 teachers with no teacher training will be employed across the country addressing the number of teachers required to teach in primary schools when seventh grade students enter eighth grade next year.
error: Content is protected !!