Newspapers

Kenya Leo suala la 290 Machi 24,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Moi amaepongeza wajibu muhimu unaotekelezwa na makampuni ya kibinafsi kiuchumi nchini na akaahidi dhamira ya serikali ya kuunga mkono juhudi za wawekaji rasilimali wa kibinafsi ambao husaidia juhudi za serikali katika kustawisha uchumi wa nchi hii.

English translation below

  • President Moi commended the important role played by private companies in the economy in the country and pledged the government’s commitment to support the efforts of private resource investors which supports the government’s efforts in developing the economy of this country.
error: Content is protected !!