Newspapers

Kenya Leo suala la 292 Machi 26,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Wito wa Rais Moi hivi majuzi kwa vyama vya Wafanya Kazi na Waajiri kupatana kwa njia ya amani unaonekana haujatekelezwa kufuatia kuahirishwa kwa mkutano wa pande tatu zinazohusihika katika mkutano wa halmashauri ya Ushauri ya Wafanya Kazi uliokuwa ufanywe Machi 16.

English translation below

  • A call by President Moi recently for Workers ‘and Employers’ unions to negotiate peacefully appears to have not been implemented following the adjournment of the meeting of the three parties involved in the council meeting and Staff Counseling was to be done on March 16.
error: Content is protected !!