Nyota Afrika newspaper of April 1970 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Nyota Afrika newspaper of April 1970

Volume Ref: NY_1970_M008828

  • Mkuu wa Arusha Bw.Aaron Weston Mwakangáta alianzisha hatua ya kuondia kitu kilicho kigumu alipowaingilia Wamasai na Waarusha na kuwaambia wachane na mila zao za kikale na kujiweka bega kwa bega na Watanzania wengine na hali ya mambo inavyotakiwa katika karne ya 20,
  • Beni ya The Tonics ya Dar es Salaam ilipiga kambi Arusha na wimbo wao mmoja wa zilizopendwa uliomaarufu ni “Mpenzi Umeondoka”

Translation

  • There were the following issues; Arusha Governor Aaron Weston Mwakangáta took the initiative to address the issue of the people of Maasai and Arusha and told them to abandon their old traditions and stand shoulder to shoulder with other Tanzanians and the status quo in the 20th century,
  • The Tonic Band of Dar es Salaam camped in Arusha and one of their most popular songs is “Mpenzi Umeondoka” was played.
error: Content is protected !!