Nyota Afrika newspaper of July 1973
Volume Ref: NY_1970_M008828
- Watanzania wajivunia siku ya saba saba siku yenye Tanganyika African National Union (TANU) ilizaliwa,pili, Samora Moise Machel ,kiongozi wa Frelimo na Mkuu wa majeshi ya wapiganiaji uhuru wa Msumbiji akihutubia wananchi katika kijiji cha Nangade ,Msumbiji kuwaeleza madhumuni ya ukombozi wao.
Translation
- Tanzanians are proud of the 7th birthday of the Tanganyika African National Union (TANU), secondly, Samora Moise Machel, Frelimo leader and Commander-in-Chief of the Mozambican independence forces addressing the people of Nangade village, Mozambique to explain the purpose of their liberation.

