Nyota Afrika newspaper of June 1970
Volume Ref: NY_1970_M008828
- Kombe la dunia lafanyika Mexico, Miriam Makeba mwimbaji mashuhuri ulimwenguni juzi aliwatumbuiza Waitaliano mjini Roma akiwa amevalia mavazi rasmi ya kikwao -Afrika Kusini
Translation
- The World Cup is being hosted in Mexico.
- Miriam Makeba, a world-famous singer, sang for the Italians in Rome while dressed in South African national attire.

