Nyota Afrika newspaper of June 1973
Volume Ref: NY_1970_M008828
- Ili kuzuia mioto ya misitu ,yapaswa wale wanaokwenda misituni wasitupe jivu la sigara au vipande vyake, pili, mwaka wa fedha wa Serikali ni kuanzia wa mwaka wa 1973 kwa nchi za Tanzania,Kenya na Uganda huanzia Juni 30.
Translation
- To prevent forest fires, those who go to the forests should not throw cigarette ashes or its fragments indiscriminately, secondly, the Government financial year is from 1973 for Tanzania, Kenya and Uganda starting June 30th.

