Nyota Afrika newspaper of March 1970
Volume Ref: NY_1970_M008828
- East Africa Safari yaanza Uganda mwaka huu,
- kamati ya ukombozi ya umoja wa nchi za Afrika imekuwa inakutana mjini Arusha,Tanzania kujadili juu ya shughuli zake mbali mbali za kusaidia vita vya uhuru katika Angola,Msumbiji,Rhodesia,Guinea na Afrika Kusini.
Translation
- East Africa Safari begins in Uganda this year
- The African Union liberation committee has been meeting in Arusha, Tanzania to discuss its various activities to support the liberation struggle in Angola, Mozambique, Rhodesia, Guinea and South Africa.

