Newspapers

Nyota Afrika newspaper of March 1972

Volume Ref: NY_1970_M008828

  • Dini la Krishna Conciousness, dini mpya linalotoka sehemu la mashariki ya ulimwengu ilianza Kenya Julai mwaka uliopita, pili, Lamu Museum lilianza shughuli za kukusanya vitu vya kale katika kisiwa cha Lamu na sehemu za jirani tokea 1969 na kuanza kuvionyesha rasmi kwa wananchi mnamo Desemba 12 mwaka jana.

Translation

  • Krishna Conciousness, a new Religion from the eastern part of the world, started in Kenya in July last year. Secondly, Lamu Museum began collecting antiquities on the island of Lamu and surrounding areas from 1969 and officially began displaying them on December 12 last year.
error: Content is protected !!