Nyota Afrika newspaper of March 1973 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Nyota Afrika newspaper of March 1973

Volume Ref: NY_1970_M008828

  • Askofu Mourice Otunga ameteuliwa kuwa Kardinali na kanisa la Katoliki ,hili limefanya kuwepo na Makardinali tisa Waafrika,Pili, Waganda katika sehemu mbali mbali nchini Uganda walishuhudia wananchi 12 wakifungwa “Kigongo -Nyuma” katika miti,kuvuliwa nguo na kuvishwa aproni nyeupe ,kisha wakapigwa mande kwa risasi za vikosi vya wanajeshi mapema mwezi jana,wanasemekana kwamba walikuwa na mipango ya kuleta uchafuzi wa kuagusha serikali ya Jemadari Idi Amin.

Translation

  • Bishop Mourice Otunga has been appointed Cardinal by the Catholic Church, which has resulted in nine African cardinals. Second, Ugandans in various parts of Uganda witnessed 12 people being tied “to the back” in trees, stripped of their clothes and dressed in white aprons, and then carried out a shootout with military forces earlier last month, they are said to have planned to carry out a vicious act to overthrow the government of General Idi Amin.
error: Content is protected !!