Nyota Afrika newspaper of March 1974 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Nyota Afrika newspaper of March 1974

Volume Ref: NY_1970_M008828

  • Sheria mpya iko njiani kumpa mwanamke haki sawa ya miliki ya mali za bwana na haki ya kuwa binadamu sawa nyumbani mwao na kupiga mwanamke itakuwa kosa kutokana na sheria hiyo pili,Morris Tito Gachamba mwenye umri wa miaka 36, ambaye ni fundi maarufu katika utengenezaji wa baiskeli, pikipiki na magari katika sehemu za Karatina, Nyeri sasa amezuka na mawazi mapya ya kutengeneza gari la magurudumu matatu

Translation

  • A new law is under way to give a woman equal rights to property and the right to be a human being in their home and to beat a woman would be an offense under the second law, 36-year-old Morris Tito Gachamba, a well-known cyclist, motorcycles and cars in parts of Karatina, Nyeri has now come up with new ideas for a three-wheeled vehicle.
error: Content is protected !!