Newspapers

Nyota Afrika newspaper of May 1972

Volume Ref: NY_1970_M008828

  • Wanafunzi wa shule ya Vipofu ya Masasi waweza kuchapa habari kwa taipureta ya maandishi ya “Braille”,wajifunza kufuma vikapu na wapalilia shamba la mihogo na mahindi,pili, Wakulima wanaokwenda Kituo cha Hambolo hufunzwa jinsi ya kulima kwa plau inayovutwa kwa ngómbe .

Translation

  • Students at Masasi School for the Blind can print information on a “Braille” typewriter, learn how to weave baskets and weed the cassava and maize fields.
error: Content is protected !!