Newspapers

Nyota Afrika newspaper of May 1974

Volume Ref: NY_1970_M008828

  • Swali laulizwa kama eneo la ardhi katika Afrika Mashariki litabanduka na kutegengana kabisa na bara la Afrika ,ambapo Bonde la Ufa la Rift Valley litageuka mkondo mkubwa wa bahari,pili ,Historia imejiandika nchini Kenya, kondakta wa kwanza wa kike aligonga vichwa vya habari katika mji wa Mombasa.

Translation

  • The question is asked whether the land area in East Africa will split and separate completely from the African continent, where the valley in Rift Valley will turn into a major ocean current. secondly,In Kenya, the first female conductor made headlines in the town of Mombasa.
error: Content is protected !!