Nyota Afrika newspaper of September 1970 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Nyota Afrika newspaper of September 1970

Volume Ref: NY_1970_M008828

  • Maelfu yatamiminika stadium Zanzibar kwa sababu ya Mashindano makubwa ya East African Challenge Cup kenye uwanja wa Mao Tse-Tung ,ya pili Serikali ya Kenya pamoja na National Christian Council ya makanisa ya Kenya Zilifungua kituo kwa watoto yatima kilichojengwa kwa vibanda vya miti na kukandikwa udongo na kuezekwa nyasi kandoni mwa ziwa Rudolf

Translation

  • The following issues appeared in the Nyota Africa Newspaper in the September of 1970 :Thousands of money will be poured into Zanzibar ‘sstadium for next year’s East African Challenge Cup at Mao Tse-Tung Stadium ,secondly,The Kenyan government and the National Christian Council of Kenya churches have opened an orphanage built with wooden huts and mud and grass roofs along Lake Rudolf.
error: Content is protected !!