Nyota Afrika newspaper of September 1974
Volume Ref: NY_1970_M008828
- Serikali ya walowezi wa Rhodesia inayoongozwa na haini Ian Smith yawarundika Wazimbabwe kwenye vijiji visivyo na maji wala vyoo,pili, Uhusiano wa ujirani mwema kati ya mikoa ya mwambao wa Kenya ,Tanzania ,Bara pamoja na Unguja ulifikia kima cha juu mwezi jana wakati Wakuu wa mikoa hiyo walipokutana kisiwani Unguja
Translation
- Rhodesian settler government led by the traitor Ian Smith piles Zimbabweans in villages without water or toilets ,secondly, Good neighborly relations between Kenya’s coastal regions , Tanzania, Mainland and Unguja reached its peak last month when the regional commissioners met on the island of Unguja

