Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of November 16,1968, Issue No. 738

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Mazungumzo baina ya Uingereza na Serikali ya mhaini Smith wa Rhodesia yalivunjika na hukukuwa na dalili yoyote ya suluhisho kufikiwa baina ya nchi hizo mbili.
  • Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. Harold Wilson, alikanusha vikali madai kwamba mapatano baina ya Uingereza na Rhodesia yalikuwa karibu kufikiwa. ” Sijui jambo lolote ambalo laweza kunifanya kutoa taarifa ya kusema kwamba Rhodesia na Uingereza ziko karibu kufikia mapatano.”

English Translation

  • Negotiations between England and the Traitor Smith’s Government of Rhodesia were broken and there was no sign of a solution being reached between the two countries.
  • The Prime Minister of England Mr. Harold Wilson, vehemently denied claims that an agreement between Britain and Rhodesia was close to being reached.” I don’t know anything that could make me make a statement saying that Rhodesia and England are close to reaching an agreement.”
error: Content is protected !!