Taifa Weekly Newspaper of February 21,1981, Issue No. 1278 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of February 21,1981, Issue No. 1278

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Bw Henry Kosgey, asema “Kenya itatumia fedha nyingi katika kuimarisha huduma za uchukuzi ambazo ni muhimu katika maendeleo ya uchumi.” Waziri alisema mbinu mpya za usafirishaji bidhaa ni mojawapo ya njia za kupunguza gharama ya uchukuzi wa bidhaa zilizoagizwa kutoka nje ama zinazosafirishwa nje, hali ambayo itafanya pia bei zao kuwa nafuu.

English Translation

  • Minister of Transport and Communication, Mr. Henry Kosgey said, ” Kenya will spend a lot of money on improving transportation services which are important in economic development.”
  • The minister said that new methods of transporting goods are one of the ways to reduce the cost of transportation of imported or exported products outside, which will also make their prices cheaper.
error: Content is protected !!