Taifa Weekly Newspaper of June 20,1981, Issue No. 1295 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of June 20,1981, Issue No. 1295

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Waziri wa Utamaduni na Huduma za jamii, Bw. Jeremiah Nyagah ametoa wito kwa WaKenya wahifadhi utamaduni mzuri kwani utamaduni ndio msingi na urithi wa Afrika. Bw Nyagah alihimiza umoja na ushirikiano katika madhehebu ya dini na akayapongeza mashirika ya kujitolea na wamishenari kwa kuunga mkono juhudi za serikali katika mipango ya elimu, huduma za jamii na maendeleo ya uchumi.

English Translation

  • Minister of Culture and Art Mr. Jeremiah Nyagah has called on Kenyans to preserve good culture because culture is foundation and heritage of Africa. Mr Nyagah encouraged unity and cooperation in religious sects and commended volunteer organizations and missionaries to support the government’s efforts in education programs community services and economic development.
error: Content is protected !!