Taifa Weekly Newspaper of March 07,1981, Issue No. 1280 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of March 07,1981, Issue No. 1280

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Rais Daniel arap Moi, amewataka wakulima humu nchini wajifunze mbinu na taaluma za kisiasa za kilimo ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ama ukame nyakati zote. Akisema kwamba kuna haja ya kujibadilisha kulingana na mazingira, Rais Moi aliwahimiza wakulima watumie kikamilifu utaaLamu wa mambo ya kilimo na ujuzi wao kwani hali ya anga na hewa daima inabadilika.

English Translation

  • President Daniel Arap Moi has asked the farmers in this country to learn the methods and political skills of agriculture to cope with climate change or drought at all times. Saying that there is a need to change according to the environment, President Moi encouraged farmers to make full use of their agricultural expertise and knowledge because the atmosphere and weather are always changing.
error: Content is protected !!