Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of May 02,1981, Issue No. 1288

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Balozi wa Marekani humu nchini Bw. William Harrop, asema nchi yake ina ufahari kubwa kuisaidia Kenya kutimiza mipango mbali mbali ya maendeleo yenye lengo la kuimarisha hali ya maisha ya wananchi. Balozi huyo alisema kwamba Kenya ni miongoni mwa mataifa marafiki wakubwa wa Marekani ulimwenguni pia alisema kwamba moyo wa harambee unaotumiwa na WaKenya kuleta maendeleo ni sawa na juhudi za masetla wa kale Wamarekani ambao walijenga nchi yao kwa moyo wa kujitolea.

English Translation

  • American Ambassador in this country Mr. William Harrop says his country has great honor in helping Kenya fulfill various development plans with the aim of improving the living conditions of citizens. The ambassador said that Kenya is among the greatest friends of the United States, he also said that the spirit of Harambee used by Kenyans bringing about development is similar to the efforts of the ancient American settlers who built their country with a spirit of sacrifice.
error: Content is protected !!