Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of May 23,1981, Issue No. 1291

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Matawi mengi ya chama kinachotawala nchini, Kanu yameunga mkono hatua ya serikali ya kuwataka wadhibiwe vilivyo madaktari wote ambao wamekataa kurejea kazini. Tawi la Nakuru limehimiza serikali kuwasimamisha kazi hao madaktari na wakati huo huo ikaitaka serikali iachilie mbali kufanya majadiliano yoyote na madaktari hao hadi wamerejea kazini.

English Translation

  • Other branches of the ruling party in the country Kanu have supported the government’s action to demand that all doctors who have refused to return to work.
  • The Nakuru branch has urged the government to suspend the doctors and at the same time, he asked the government to refrain from negotiating with those doctors until they go back to work.
error: Content is protected !!