Taifa Weekly suala la 1475 Decemba 29,1984
Volume Ref: TW_1984_M033939
- Kamati Kuu ya Kitaifa ya Kanu itakutana ili kujadiliana swala la uchaguzi ujao wa matawi ya chama hicho kinachotawala,imetangazwa kutoka makao makuu ya Kanu mjini Nairobi.
English translation below
- The Kanu National Central Committee will meet to discuss the issue of the party’s elections of the branches of the ruling party, has been announced from Kanu’s headquarters in Nairobi.

