Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of August 10,1968, Issue No. 724

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Chama cha Upinzani, KPU kilipata pigo kubwa sana wakati viongozi saba wake katika wilaya ya Malindi na Kilifi walipojiuzulu na papa hapo wakatangaza kwa pamoja kwamba wanataka kujiunga na Kanu.

English Translation

  • Opposition party KPU got a big blow when its seven leaders in the district of Kilifi and Malindi when they resigned and right then and there they announced together that they wanted to join Kanu.