Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of December 14,1968, Issue No. 742

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Serikali ya Kenya ilitangaza kuvunjwa kwa vyama viwili vya mpira katika Kenya, Football Association of Kenya na Kenya National Football League kama hatua ya kupambana na mzozo uliozuka kwenye mashughuli ya michezo ya mpira.
  • Hatua ya Serikali ilichukuliwa baada ya malalamiko kadha kufanywa kwamba hakuna maongezi mema katika chama cha Football Association of Kenya na kile cha Kenya National Football League.

English Translation

  • The Kenyan government announced the dissolution of two football associations in Kenya, Football Association of Kenya and Kenya National Football League as a measure to combat the conflict that broke out in football activities.
  • The Government’s action was taken after several complaints were made that there are no good conversations in the associations of Football Association of Kenya and that of Kenya National Football League.