Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of January 20,1968, Issue No. 694

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Kabla ya Bunge kuahirishwa, Makamu wa Rais Bw. Daniel arap Moi, akitaja habari za rushwa zilizosemekana zinaliwa na viongozi kadha, aliliambia Bunge kwamba ingeisaidia sana Serikali kuchukua hatua kali ikiwa wanaojua wenye kula rushwa wangepitisha habari kwa Serikali badala ya kuzipeleka habari hizo magazetini.

English Translation

  • Before Parliament adjourned, the Vice President Mr Daniel arap Moi, mentioning the news of corruption said to be taken by several leaders, he told the Parliament that it would help the Government to take strong action if those who know those taking bribes would pass the news to the Government instead of sending the news to the newspapers.