Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of July 06,1968, Issue No. 719

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Viongozi wa Biafra sasa wako tayari kabisa kuenda mahali popote katika dunia kwa madhumuni ya kuanzisha tena yale mazungumzo ya amani yaliyovunjika Kampala kama Nigeria itakubali kuacha mapigano kila makataba yoyote kabla ya mazungumzo kuanza.

English Translation

  • The leaders of Biafra are now ready to go anywhere in the world for the purpose of restarting the broken peace talks in Kampala if Nigeria will agree to stop fighting any agreements before negotiations begin.