Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of July 20,1968, Issue No. 721

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Mpango fulani wa siri kabisa waweza kutimizwa wakati wowote na wafanya kazi wa Relwe kokote Afrika Mashariki. Jambo hili lilitobolewa na Maafisa wa Railway African Union (Kenya) , Railway African Union (Uganda) na National Union of Tanganyika Workers, kwenye mkutano wa waandishi wa habari katika Nairobi.
  • Matamshi ya viongozi hawa wa wafanya kazi wa Relwe yalifuata kuvunjika kwa mazungumzo baina yao na wakuu wa Relwe.

English Translation

  • Some top secret plan can be implemented at any time by the workers of Relwe all over East Africa. This matter was pierced by the Officers of Railway African Union (Kenya) , Railway African Union (Uganda) and National Union of Tanganyika Workers, at the press conference in Nairobi.
  • The statements of these leaders of the workers of Relwe was followed by the breakdown of negotiations between them and the heads of Relwe.