Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of June 15,1968, Issue No. 716

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Makamu wa Rais Bw. Daniel arap Moi, alaimkaribisha Rais Banda maonyeshoni ya Baringo, amabayo aliyaeleza yametayarishwa na wakazi wa sehemu hiyo kwa moyo wa kujisaidia.
  • Akimshukuru sana Dr. Banda kwa kuweza kufika maonyeshoni hayo, Bw Moi alisema kwamba maendeleo ambayo yamefanyika katika wilaya hiyo yalianza tangu Kenya ijipatie uhuru, kwani hapo mapema ilikuwa imeshauliwa na wakoloni.

English Translation

  • The vice president Mr Daniel arap Moi he welcomed President Bandato the Baringo exhibition which he explained have been prepared by the residents of the area with a spirit of self-help.
  • Thanking Dr. Banda for being able to arrive at the exhibition, Mr Moi said that the progress that has been made in that district started since Kenya gained independence because it was earlier been forgotten by the colonists.