Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of June 29,1968, Issue No. 718

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Bunge la Kenya liliahirishwa kwa muda wa miezi miwili ili wajumbe wapate nafasi ya kurudi makwao na kuwatayarisha wapiga kura wao kwa uchaguzi wa madiwani utakaofanywa mwezi wa Agosti.
  • Wajumbe wengi zaidi wanatazamiwa kuwasaidia wataka uchaguzi wa Kanu kwenye kuwataja majina na kwenye kuzunguka huku na huko ili kupata kura.

English Translation

  • The Kenyan parliament was adjourned for two months so that the delegates have a chance to return to their homes and prepare their voters for the election of councilors to be held in August.
  • More members are expected to help Kanu election candidates in naming them and in going around to get votes.