Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of March 09,1968, Issue No. 702

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Tamko la kutoka Afisi Kuu lilifanya mwito kwa Uingereza kuchukua hatua ya kuvunjilia mbali ule utawala haramu wa Ian Smith katika Rhodesia.
  • Tamko hilo la Kanu, likitaja tendo la kuwanyonga wale Waafrika watatu kama la kushtusha na kuhuzunisha kabisa, laendelea kudai kwamba sababu mhaini Smith amewaua Waafrika hao makusudi ni lazma yeye pia aseme kushtakiwa na kuhukumiwa.

English Translation

  • The statement from the Head Office called on the UK to take action to dismantle the illegal rule of Ian Smith in Rhodesia.
  • Kanu’s declaration, mentioning the act of hanging the three Africans as shocking and quite saddening, it continues to claim that because the traitor Smith has killed the Africans on purpose he must also be accused and convicted.