Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of March 30,1968, Issue No. 705

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Mpigano makali sana yalitokea kati ya wayahudi na Waarabu wa Jordan, ikiwa mara ya pili nchi hizo mbili kutwangana kufa na kuponakatika muda wa siku nane. Waarabu wa Jordan walikuwa wanadai kwamba wameisha ziangusha eropleni tatu za kiyahudi.
  • Habari zilizotoka Mashariki ya Kati zikasema mapigano yalianza wakati Wajordani walifyatua bunduki zao za marisaa kwenye makao ya Wayahudi kwenye Bonde la Beisan ambako kumetokea matata mara kwa mara.

English Translation

  • A very fierce fight occurred between Jews and Arabs of Jordan, it’s the second time the two countries have fought fiercely within eight days. The Arabs from Jordan were claiming that they had shot down three Jewish planes.
  • News from the Middle East said the fighting started when the Jordanians fired their rifles at the Jewish settlement in the Beisan Valley where there has been trouble from time to time.