Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of May 25,1968, Issue No. 713

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Chama cha Upinzani KPU, kinalaani vikali vitendo vya uhalifu ambavyo vimetokea nchini katika siku chache zilizopita, nacho chauliza Polisi kupata njia mpya ya kupambana na “hali hii mbaya inayowapa wananchi wasi wasi.”

English Translation

  • The Opposition Party KPU strongly condemns the criminal acts that have happened in the country in the past few days, and asked the Police to find a new way to to fight “this bad situation that worries the people.”