Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of October 05,1968, Issue No. 732

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Wizara ya Leba ilitangaza kwamba mapatano yamefikiwa kati ya Kenya Electrical Traders Workers’ Union na kundi la wafanya biashara ya stima ya kumaliza ubishi uliopo na wanachama wote wameulizwa warudi kazini.
  • Kwenye taarifa ilitotiwa sahihi walikubaliana kwamba hakuna mfanya kazi atakayefanyiwa mabaya mradi arudi kazini.

English Translation

  • Minister of Labour announced that an agreement had been reached between Kenya Electrical Traders Workers’ Union and a group of steam traders to end the dispute and all members have been asked to return to work.
  • In a signed statement, they agreed that no worker will be harmed as long as he returns to work.