Newspapers

Taifa Kenya Newspaper of September 14,1968, Issue No. 729

Volume Ref: TK_1968_M033961

  • Mahakimu watatu wa Korti Kuu ua rufani katika Rhodesia walikata shauri jana kuitambua Serikali ya Ian Smith na kubashiri kwamba juhudi zote zinzofanywa za kutaka kuiangusha kwa njia za kusisia uchumi wa nchi hiyo hazitafaulu.

English Translation

  • Three judges of the High Court of Appeal in Rhodesia decided yesterday to recognize the Government of Ian Smith and predicted that all the efforts made to bring it down in ways that undermine the country’s economy will not succeed.