Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of April 18,1981, Issue No. 1286

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Rais Daniel arap Moi amemtumia simu ya hongera, Rais wa Zimbabwe Rev, Canaan Banana wakati wa kuadhimisha mwaka wa kwanza tangu nchi hiyo inyakue uhuru .”Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Kenya, twawatakieni furaha na heri njema katika siku hii ya taifa lenu, hatuwezi sahau jinsi mlivyopigania uhuru ,tuko pamoja nanyi kwenye jitihada ya kujenga taifa lenu jipya” asema Rais.

English Translation

  • President Daniel arap Moi has sent a congratulatory phone call to Zimbabwe President Rev. Canaan Banana during the first anniversary since the country gained independence.”On behalf of the Government and the people of Kenya, We wish you happiness and good luck on this day of your nation, we can’t forget how you fought for your independence, we are with you in the effort to build your new nation.”Said the President