Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of August 08,1981, Issue No. 1302

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Waziri wa Fedha wa Tanzania , Bw. Amir Jamal, alisema ” kufunguliwa kwa mpaka wa Kenya na Tanzania kutategemea kusuluhishwa kwa swala la rasilimali na madeni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika. ” Bw Jamal alisema kwamba bado kuna mambo mawili ya kutimizwa kabla ya mpaka kufunguliwa. Moja ni kufaulu kwa ugawaji wa rasilimali na madeni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na pili ni kufanikiwa kwa mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi hizi mbili.

English Translation

  • Minister of Finance of Tanzania Mr. Amir Jamal said,”the opening of the border between Kenya and Tanzania will depend on the resolution of the issue of the resources and liabilities of the broken East African community.” Mr Jamal said that there are still two things to be accomplished before the border is opened. One is the success of the allocation of resources and debts of the East African Community and the second is the success of the agreement to establish economic relations between these two countries.