Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of December 12,1981, Issue No. 1320

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Mahakama kuu yalipunguza hukumu ya miaka mitatu aliyokuwa amefungwa Mbunge wa Nyeri, Waruru Kanja, na kuifanya ya mwaka mmoja baada ya rufani aliyokata. Kanja aliyefungwa baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja sheria ya ubadilishaji fedha za kigeni, tayari amaetumika miezi miwili u nusu.

English Translation

  • The Supreme Court reduced the sentence to three years that was imprisoned to the Member of Parliament of Nyeri Waruru Kanja, and made it one year after the appeal he cut. Kanja was imprisoned after being found guilty of breaking the foreign exchange law he has already been in prison for two and a half months.