Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of February 28,1981, Issue No. 1279

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Rais Daniel arap Moi aliilaumu Wizara ta Elimu ya Juu ya Chuo Kikuu cha Nairobi kwa kutokuwa na ushirikiano wa kutayarisha mipango thabiti na ya manufaa ya elimu. Alitoa wito kwa wanaotayarisha utaratibu wa elimu katika Wilaya ya Elimu ya juu na katika chuo kikuu cha Nairobi washirikiane ili watoe mipango ya manufaa kwa taifa na hata kwa vizazi vijavyo.
  • Alisema anasikitishwa na mabadiliko yanayofanywa mara kwa mara ya vitabu vya kutumiwa shuleni na akasema Kenya haiwezi kuvumilia jambo hilo.

English Translation

  • President Daniel arap Moi blamed the Ministry of Higher Education of the University of Nairobi for not cooperating on preparing solid and useful educational programs. He called on those preparing the education system in the Higher Education District and in the University of Nairobi to cooperate so that they provide useful plans for the nation and even for future generations.
  • He said he was disappointed with the frequent changes made to the books to be used in schools and he said Kenya cannot tolerate that.